Kiswahili / Swahili

Mafao ya Ukosefu wa Ajira ili Kukabiliana na virusi vya korona vya COVID-19

KUMBUKA: Taarifa hii ilikuwa sahihi hadi Aprili 17, 2020, hata hivyo baadhi ya taarifa zinaweza kuwa zimebadilishwa kuanzia hapo. Tafadhali angalia vtlawhelp.org kwa taarifa mpya zozote. Ikiwa umepoteza kazi yako au saa zako za kazi zimepunguzwa kwa sababu ya virusi vya korona vya COVID-19, labda unaweza kupata msaada fulani. Unaweza kutuma… more

Sheria ya CARES – COVID-19 Malipo/Hundi ya Kujikimu ya Athari za Kiuchumi za Virusi vya Korona

Imesasishwa Aprili 16, 2020   Sheria ya msaada wa virusi vya korona ya serikali kuu (inayoitwa sheria ya CARES) itatoa fedha kwa watu wazima wengi nchini Merikani. IRS itatuma fedha kwenda nyumbani kwako au itaweka kwenye akaunti yako ya benki. Baadhi ya watu ambao hawajawasilisha malipo ya kodi wanapaswa kuwasilisha fomu ya kodi ili kupata… more
Updated: Apr 24, 2020